RAIS Dkt. Mwinyi amekutana na wasanii wa Tamasha la “Nandy Festival” Ikulu Zanzibar.

                                                                           STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE  Zanzibar                                                                                        22.07.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Tamasha la “Nandy Festival” na kusema kwamba kufanyika kwa Tamasha hilo hapa nchini ni fursa ya kuutangaza utalii wa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu